Acaponeta, Nayarit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Acaponeta
Skyline ya Acaponeta
Nchi Mexiko
Jimbo Nayarit
Idadi ya wakazi
 - 34,665

Acaponeta ni mji mkuu na pia manispaa upande wa kaskazi ya jimbo la Nayarit. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 34,665 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 1,667.7 km².

Mji ulianzishwa na Nuño de Guzmán mwaka 1530.Acaponeta en Nayarit.svg
Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Acaponeta, Nayarit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.