Nenda kwa yaliyomo

Abdul Jabir Marombwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Abdul Jabiri Marombwa)

Abdul Jabir Marombwa (amezaliwa tar. 25 Mei 1959) ni mbunge wa jimbo la Kibiti katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Abdul Jabir Marombwa". 21 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje

[hariri | hariri chanzo]