Nenda kwa yaliyomo

Abdi Hassan Mshangama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdi Hassan Mshangama (amezaliwa 27 Januari, 1943) ni mbunge wa jimbo la Lushoto katika bunge la kitaifa tangu 2005 huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Abdi Hassan Mshangama". 25 Aprilii 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdi Hassan Mshangama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.