Abderrahim Achchakir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abderrahim Achchakir (amezaliwa 15 Desemba 1986) ni mchezaji wa soka raia wa Moroko anayecheza katika klabu ya Chabab Mohammedia na timu ya taifa ya Moroko.[1] Alikuwa mwanachama wa timu ya taifa ya Morocco katika Kombe la Mataifa ya Afrika 2013 nchini Afrika Kusini.

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Klabu[hariri | hariri chanzo]

Raja Casablanca

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Abderrahim Achakhir". National-Football-Teams.com. Iliwekwa mnamo January 23, 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abderrahim Achchakir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.