Örnsköldsvik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Örnsköldsvik


Örnsköldsvik ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 28 617 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1842. Jina ni ya Kiswidi, maana yake ni: örn = tai, sköld = ngao, vik = hori.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 23.97 km².

Bombwe la tai katika Hifadhi ya Tai

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Örnsköldsvik kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.