Nenda kwa yaliyomo

Salama Jabu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Salama Jabu''' maarufu kwa jinaa la Nisha ni mwanamke msanii na muandaaji wa maigizo ,mahususi ya vichekesho,wa kitanzania <ref>http://peruzimedia.blogspot...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:49, 1 Desemba 2018

Salama Jabu maarufu kwa jinaa la Nisha ni mwanamke msanii na muandaaji wa maigizo ,mahususi ya vichekesho,wa kitanzania [1].Salama jabu ni mwanzilishi wa kampuni ya filamu ya NISHA'S film production pia ametajwa kuwa moja kati ya wanawake warembo kutoka nchini Tanzania na tovuti ya answersafrica.com akishika nafasi ya 16 [2]


Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salama Jabu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.