Nenda kwa yaliyomo

Salama Jabir : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Salama Zalhata Jabir''' ni mwanamke mzaliwa wa Tanzania mwenye mwonekano wa kiume<ref>https://informationcradle.com/africa/salama-jabir</ref> ambaye mara ch...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:04, 1 Desemba 2018

Salama Zalhata Jabir ni mwanamke mzaliwa wa Tanzania mwenye mwonekano wa kiume[1] ambaye mara chache ameonekana akiwa amevalia mavazi ya kike[2] alizaliwa mnamo tarehe 1st Oct 1984 kwenye familia ya watoto tisa [3].Salama ni mwanzilishi na aliyekuwa matangazaji wa kipindi cha televisheni cha MkasiTv ,katika chombo cha habari cha EATV, kilichompatia umaarufu sana, kabla ya kukihamishia na kufungua katika chaneli ya YouTube mnamo tarehe 1st Nov 2011[4]. Salama pia ni jaji katika mashindano ya kutafuta vipaji vya wanamuziki yaitwayo Bongo Star Search akionekana kuwa ni jaji asemaye ukweli kwa wanosailiwa[5].

Mafanifikio

Salama Jabir amepata mafanikio yafuatayo katika tasnia utangazaji na uanzishaji wa vpind vya televisheni.

Mtangazaji mwanzilishi wa Planet Bongo

Ni mtanganzaji na mwanzilishi wa kipindi cha televisheni cha Planet Bongo kinachorushwa na televisheni ya EATV [6] kilichoongeza ubara wa muziki wa bongo flava.

Mtangazaji mwanzilishi wa Mkasi

Amefanikiwa kuanzisha na kutanga katika kipindi cha televisheni cha Mkasi katika televisheni ya EATV. Baadae,baada ya kuacha kurushwa kwa kipindi hiki katika televisheni ya EATV Salama Jabir alianzisha chaneli ya Youtube yenye jina la MkasiTV yenye wateja 123638 mpaka makala hii ilipoahaririwa [7]

Mtangazaji wa kipindi cha Shabiki

Mtangazaji wa kipindi cha televisheni cha Shabiki kinachorushwa katika televisheni ya EATV kinachohusu michezo na mashabiki wakihusishwa na timu baada na kabla ya timuzao kucheza .< [8]

Mtangazaji wa kipindi Ngaz kwa Ngaz

Salama pia amefanikiwa kutangaza kipind cha televisheni cha Ngaz kwa Ngaz kinachorushwa na EATV .< [9]

Jaji wa Bongo Star Search

Salama Jabir pia amekuwa akishiriki kama jaji katika mashindano ya kuibua vipaji vya wanamuziki yaitwayo Bongo Star Search

Mwanzilishi wa Kampuni ya MkasiTV

amefanikiwa kuanzisha kampuni ya MkasiTV akishirikiana na AY na Josh Murunga[10]

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salama Jabir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.