Yustini na Kreshensioni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yustini na Kreshensioni (walifariki Roma, 258) walikuwa Wakristo wa Roma ya Kale wanaoheshimiwa tangu kale kama watakatifu wafiadini.[1].

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 4 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.