Yuri Kawamura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yuri Kawamura (alizaliwa 17 Mei 1989) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama beki kwenye timu ya taifa ya wanawake ya japani. Yuri Kwasasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Japan.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Balf, Celia. "NC Courage defender Yuri Kawamura suffers ACL and meniscus tear". Excelle Sports. 
  2. "YURI KAWAMURA". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-22. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  3. "@prileyfury4life". 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuri Kawamura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.