Yuka Momiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yuka Nicole Momiki (alizaliwa 9 Aprili 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Japani ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Japani.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "LCFC Women Sign Japan International Yuka Momiki". www.lcfc.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "FIFA Tournaments - Players & Coaches - Yuka MOMIKI". web.archive.org. 2015-10-12. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-12. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuka Momiki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.