Yanga Baliso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yanga Baliso (alizaliwa 27 Machi 1997), ni mwanasoka wa Afrika Kusini ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya AC Oulu.Pia ana uwezo mkubwa wa kupiga mashuti ya mbali na amejariwa uwezo wa kupiga chenga.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yanga Baliso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.