Yakubu Mohammed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yakubu Mohammed (alizaliwa 26 Julai 1990) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Azam na ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ghana.  

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Yakubu alianza kazi katika klabu ya Equatorial Guinean Futuro Kings FC iliyopo nchini Equatorial Guinea na badae kuhamia katika klabu ya azam iliyopo katika ligi kuu nchini tanzania.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yakubu Mohammed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.