Women Fund (Tanzania)
Women Fund Tanzania ni Asasi isiyo ya Kiserikali nchini Tanzania inayohusika na kusaidia wanawake na wanaharakati pamoja na taasisi nyingine na kuwawezesha ili wafanye shughuli mbalimbali. [1] [2]
Shirika hilo husaidia pia kuwawezesha wanawake kupaza sauti zao pamoja na kukuza uchumi, na hufanya kazi ya kutoa elimu ya afya hasa afya ya uzazi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-16. Iliwekwa mnamo 2023-01-16.
- ↑ https://www.developmentaid.org/donors/view/124007/women-fund-tanzania/grants
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |