Wilaya ya Mpwapwa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mpwapwa (kijani) katika mkoa wa Dodoma.
Wilaya ya Mpwapwa ni wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa ilihesabiwa kuwa 254,500 [1].
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Mpwapwa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Berege | Chunyu | Gode Gode | Ipera | Kibakwe | Kimagai | Luhundwa | Lumuma | Massa | Matomondo | Mazae | Mbuga | Mima | Mlunduzi | Mpwapwa Mjini | Rudi | Ving'hawe | Wotta |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mpwapwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |