Matomondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matomondo ni kata ya Wilaya ya Mpwapwa katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41615[1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 11,228 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17131 [3] waishio humo.

Kata ya Matomondo ina vijiji vitano ambavyo ni

  • Mbori, ambapo ndipo makao makuu ya kata
  • Tambi, ambapo kuna sekondari ya kata inayoitwa Matomondo Secondary
  • Mlembule
  • Mwenzele
  • Nana

Inasemekana kuwa jina Matomondo lilitokana na mnyama aliyekuwa akiishi katika mto unaopatikana maeneo yaliyo katika kata hiyo. Mnyama huyo aliitwa Itomondo, kwa Kiswahili ni Kiboko.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
  2. https://www.nbs.go.tz
  3. Sensa ya 2012, Dodoma - Mpwapwa DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
Kata za Wilaya ya Mpwapwa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania

Berege | Chipogoro | Chitemo | Chunyu | Galigali | Godegode | Gulwe | Ipera | Iwondo | Kibakwe | Kimagai | Kingiti | Lufu | Luhundwa | Lumuma | Lupeta | Malolo | Mang'aliza | Massa | Matomondo | Mazae | Mbuga | Mima | Mlembule | Mlunduzi | Mpwapwa Mjini | Mtera | Ng'hambi | Pwaga | Rudi | Ving'hawe | Wangi | Wotta


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Matomondo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.