Mpwapwa (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mpwapwa Mjini)
Ramani ya wilaya ya Mpwapwa katika Tanzania
Wilaya ya Mpwapwa katika mkoa wa Dodoma.


Kata ya Mpwapwa
Kata ya Mpwapwa is located in Tanzania
Kata ya Mpwapwa
Kata ya Mpwapwa

Mahali pa Mpwapwa katika Tanzania

Majiranukta: 6°21′0″S 36°28′48″E / 6.35000°S 36.48000°E / -6.35000; 36.48000
Nchi Tanzania
Mkoa Dodoma
Wilaya Mpwapwa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 24,670

Mpwapwa ni mji nchini Tanzania katika Mkoa wa Dodoma.

Ni makao makuu ya Wilaya ya Mpwapwa yenye postikodi namba 41601[1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 24,670 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ya Mpwapwa Mjini ilikuwa na wakazi wapatao 21337 [3] waishio humo.

Ina historia ndefu inayorejea wakati wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani.

Wakazi wa mji huu hasa ni Wagogo na Wahehe.

Ni makao makuu ya Dayosisi ya Kianglikana ya Mpwapwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
  2. https://www.nbs.go.tz
  3. Sensa ya 2012, Dodoma - Mpwapwa DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
Kata za Wilaya ya Mpwapwa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania

Berege | Chipogoro | Chitemo | Chunyu | Galigali | Godegode | Gulwe | Ipera | Iwondo | Kibakwe | Kimagai | Kingiti | Lufu | Luhundwa | Lumuma | Lupeta | Malolo | Mang'aliza | Massa | Matomondo | Mazae | Mbuga | Mima | Mlembule | Mlunduzi | Mpwapwa Mjini | Mtera | Ng'hambi | Pwaga | Rudi | Ving'hawe | Wangi | Wotta


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mpwapwa (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.