Wiki Indaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wiki Indaba ni mkutano maalumu unaoandaliwa na taasisi ya Wikimedia Foundation kwa ajili ya bara la Afrika.[1][2] Midahalo pamoja na mada mbalimbali kuhusiana na miradi ya Wikipedia katika bara la Afrika hujadiliwa katika mkutano huo.

Maelezo[hariri | hariri chanzo]

Maelezo haya yanaonyesha vipindi tofauti tofauti ambavyo mkutano wa Wiki Indaba ulifanyika.

Nembo Mkutano Tarehe Nchi
WikiIndaba 2014 Juni 20–22 Johannesburg, Afrika Kusini[3]
WikiIndaba 2017 Januari 20–22 Accra, Ghana[4]
WikiIndaba 2018 Machi 16–18 Tunis, Tunisia[5]
WikiIndaba 2019 Novemba 8–10 Abuja, Nigeria[6]
WikiIndaba 2021 Novemba 5–7 Kwa Njia ya mtandao
WikiIndaba 2022 Novemba 4–6 Kigali, Rwanda

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fripp, Charlie (2014-06-24). "What does Wikipedia need to do in Africa?". htxt.africa. Iliwekwa mnamo 2017-01-21. 
  2. "Wiki Indaba 2017". Retrieved on 2021-09-22. (en) Archived from the original on 2020-04-13. 
  3. June, Charlie Fripp on 24th (2014-06-24). "What does Wikipedia need to do in Africa?". htxt.africa. Iliwekwa mnamo 2017-02-08. 
  4. "Wiki Indaba Kickstarts in Accra, Ghana - The African Dream". www.theafricandream.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-29. 
  5. "WikiIndaba conference 2018". Iliwekwa mnamo 2017-12-24. 
  6. "WikiIndaba conference 2019". Iliwekwa mnamo 2019-08-25.