Wassim Aouachria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wassim Chouaib Aouachria

Wassim Chouaib Aouachria (alizaliwa 12 Machi 2000) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Waterford ya Ireland.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Kazi ya vijana Aouachria alizaliwa tarehe 12 Machi 2000 huko Roubaix, Ufaransa, ambapo wazazi wake wametokea Annaba, Algeria. [1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Wassim ni Mzaliwa wa Ufaransa, [2] Aouachria amewakilisha Algeria kimataifa katika Ligi ya umri chini ya miaka 18 katika Michezo ya Mediterania ya 2018: [3] alicheza dhidi ya Ufaransa, Bosnia na Herzegovina, na Uhispania. [4]

Mtindo Wa Uchezaji[hariri | hariri chanzo]

Aouachria ni fowadi hodari anayeweza kucheza kama nambari 10 au winga. Sifa zake kuu ni uwezo wake wa kiufundi na umaliziaji.

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Aouachria alielezea uchezaji wa Zinedine Zidane katika Kombe la Dunia la FIFA la 2006 kama "kichochezi" kwake kuanza kucheza kandanda.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kada Rabah, Farid (8 May 2018). "A la découverte de Wassim Aouachria, EN U20 (Olympique de Marseille)". DZBallon (kwa fr-FR). Iliwekwa mnamo 11 November 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "لاعب شبان الخضر يصف أندي ديلور بالانتهازي و ينتقد خياره علنا". elmoustadira (kwa Kiarabu). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-07. Iliwekwa mnamo 2020-11-11.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Algeria v Spain". 2018 Mediterranean Games. 22 June 2018. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 June 2018. Iliwekwa mnamo 11 November 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "Wassim Aouachria » U18 Friendlies 2018". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-11-11. 

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wassim Aouachria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.