Wafiadini wa Afrika (6 Januari)
Wafiadini wa Afrika (6 Januari) (walifariki 210 hivi) waliuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Septimus Severus kwa kuchomwa moto[1].
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Januari[2].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko