Vitundu vya mataya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kitundu cha taya la ng'ombe

Vitundu vya mataya (lat. alveolus dentalis , ing. dental alveolus) ni nafasi katika mataya zinazoshika vizizi vya meno.

Pamoja na sementi ya meno na ufizi wa meno vitundu hivi ni sehemu ya mfumo unaoshika jino mahali pake tayani.