Utovu wa vyote
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Utovu wa vyote ni wazo la falsafa na la teolojia linalojaribu kueleza hali ya kufikirika iliyo kinyume cha ile iliyopo, ambayo ni ya kuwepo vitu vingi katika ulimwengu unaoonekana, mbali na vingine vinavyoweza vikasadikika kuwepo, kama vile roho.
Katika hisabati, hilo linawakilishwa na tarakimu sifuri.
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Utovu wa vyote kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Viungo vya nje [hariri]
- The Nothing That Is, Robert Kaplan
- Il Nulla
- In Search of a Cyclops, Fredrick Schermer
- Zero, Charles Seife
- The Hole in the Universe K. C. Kole