UNODC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Logo yake.
Ofisi kuu za UNODC.

UNODC ni kifupisho cha United Nations Office on Drugs and Crime yaani "Ofisi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mihadharati na Jinai".

Makao makuu yako Vienna, Austria.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]