Trollhättan
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Trollhättan ni mji nchini Uswidi. Kuna wakazi 44,498 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1916.
[hariri] Jiografia
Eneo lake ni 23.80 km². Iko kando ya mto Göta, Umbali na Jiji la Göteborg ni 75 km.
-
Maporomoko ya Trollhättan ya mto Göta
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Trollhättan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |