Themogenesisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Themogenesisi

Themogenesisi (kutoka jina la Kiingereza thermogenesis) ni hali ya kutoa joto kwa miili ya wanyama ambao huwa hawategemei hali ya hewa ili wapate joto (warm blooded animals).

Hali hii ya thermogenesis hufanyika hata kwa mimea kama Eastern skunk vegetable, Vodoo lily na mingine.

Aina za themogenesisi[hariri | hariri chanzo]

Kuna aina tatu za themogenesisi ambazo ni:

  1. themogenesisi inayoletwa na kufanya mazoezi
  2. themogenesisi isiyotegemea mazoezi
  3. themogenesisi inayoletwa na vyakula

Kutetemeka[hariri | hariri chanzo]

Njia moto ya kuleta themogenesisi ni kutetemeka ambako kawi ya ATP hubadilishwa na kuwa joto mwilini.

Themogenesisi bila kutetemeka[hariri | hariri chanzo]

Kwa wanyama wasiotetemeka, themogenesisi yao hudhibitiwa na homoni ya thirodi

Themogenesisi ya vyakula (dieti)[hariri | hariri chanzo]

Vyakula kama vile kahawa na chai husababisha themogenesisi na kupasha mwili joto. Wanaotengeneza dawa za kupunguza uzito mwilini hutumia ujuzi huu ili unapopasha mwili joto, mafuta yayeyuke.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Themogenesisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.