Terry Crews

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Terry Crews

Terry Crews
Amezaliwa 30 Julai 1968 (1968-07-30) (umri 55)
Flint, Michigan, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1999-hadi leo
Ndoa Rebecca King (1989)
Watoto 5

Terrence Alan "Terry" Crews (amezaliwa tar. 30 Julai 1968) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Terry Crews kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.