Susana Mendes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Susana Mendes
Amezaliwa 1987
Angola
Kazi yake mwandishi wa habari


Susana Mendes alizaliwa mnamo mwaka 1987 ni mwandishi wa habari wa nchini Angola. Akiwa na umri wa miaka 23, alichaguliwa kuwa mhariri wa Angolense, na kuwa mhariri wa kwanza mwanamke nchini Angola katika jarida la wiki.[1]Mnamo mwaka 2020 alijiunga na Televisheni ya Vida TV.[2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. W. Martin James (2011). "Mendes, Susana (1987–)". Historical Dictionary of Angola. Scarecrow Press. uk. 166. ISBN 978-0-8108-7458-9. 
  2. "Suzana Mendes reforça equipa da Vida TV", 7 July 2020. Retrieved on 2021-05-29. Archived from the original on 2020-11-01.