Sunday Akinbule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ayonfe Sunday Akinbule, anayejulikana kwa jina la Sunday Akinbule (alizaliwa 27 Oktoba 1996) ni mchezaji wa kandanda wa Nigeria ambaye anachezea klabu ya Mosta kwa mkopo kutoka klabu ya Spartaks Jūrmala.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Akinbule alicheza mechi yake ya kwanza ya kulipwa katika ligi ya Segunda akiwa na klabu ya Farense tarehe 7 Februari 2016 katika mchezo dhidi ya Mafra. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Game Report by Soccerway". Soccerway. 7 February 2016.  Check date values in: |date= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sunday Akinbule kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.