Spencer Nakacwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Spencer Nakacwa
Nchi Uganda
Kazi yake mchezaji wa soka

Spencer Nakacwa (alizaliwa 1999) ni raia wa Uganda ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Lady Doves FC na timu ya Taifa ya kandanda ya wanawake ya Uganda.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spencer Nakacwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.