Sogn og Fjordane
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sogn og Fjordane ni moja kati ya majimbo ya Norwei. Jimbo hili limepakana na Møre og Romsdal, Oppland, Buskerud, na Hordaland. Makao makuu ya jimbo hili yapo mjini Hermansverk katika manispaa ya Leikanger - wakati mji mkubwa kabisa ni Førde.
Manispaa za jimboni hapa[hariri]
Takbriban manispaa 26 zipo mjini Sogn og Fjordane.
| Municipalities of Sogn og Fjordane | ||
|---|---|---|
| Key | ||
Viungo vya Nje[hariri]
- County web site (Kinorwei)
- NRK County encyclopedia (Kinorwei)
- Firda - Sogn og Fjordane's largest newspaper (Kinorwei)
- forum.firda.no - Sogn og Fjordane's largest discussion group (Kinorwei)
|
|||||||||||||
|
|||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sogn og Fjordane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |