Akershus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mjiw wa Akershus
Mahali penye rangi nyekundu ndipo panapo jimbo la Akershus.

Akershus ni moja kati ya jimbo huko nchini Norwei. Limepakana na baadhi ya majimbo mengine kama vile Hedmark, Oppland, Buskerud, Oslo na Østfold. Pia ina mpaka mfupi uliokaribiana na mpaka wa nchi ya Sweden (Värmland). Akershus ni jimbo la pili kwa ukubwa na idadi ya wakazi baada ya Oslo, likiwa na zaidi ya wakazi nusu milioni. Jimbo limepewa jina kufuatana na Ngome ya Akershus. Ngazi ya utawala ya jimboni hapa ipo mjini Oslo, ambapo si moja ya sehemu ya jimbo hili.

Manispaa zake[hariri | hariri chanzo]

Manispaa za Akershus.

Akershus ina jumla ya manispaa 22:

  1. Asker
  2. Aurskog-Høland
  3. Bærum
  4. Eidsvoll
  5. Enebakk
  6. Fet
  7. Frogn
  8. Gjerdrum
  9. Hurdal
  10. Lørenskog
  11. Nannestad
  1. Nes
  2. Nesodden
  3. Nittedal
  4. Oppegård
  5. Rælingen
  6. Skedsmo
  7. Ski
  8. Sørum
  9. Ullensaker
  10. Vestby
  11. Ås

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Akershus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.