Shule ya Sekondari Arusha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shule ya Sekondari Arusha ni shule ya sekondari iliyopo Jiji la Arusha ambayo ni shule ya kwanza nchini Tanzania kuongozwa na mwanamke Mtanzania aliyesoma nchini Marekani[1]

Mnamo mwaka 2018 shule hiyo ilikuwa na wanafunzi 800 wa kike. [2]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Sekondari Arusha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.