Shinyanga (mji)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Shinyanga | |
| Mahali pa mji wa Shinyanga katika Tanzania | |
| Anwani ya kijiografia: 3°39′36″S 33°25′12″E / 3.66°S 33.42°E | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Shinyanga |
| Wilaya | Shinyanga Mjini |
Shinyanga ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Shinyanga. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 135,166 [1].
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Shinyanga (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Shinyanga mjini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Chamaguha | Chibe | Ibadakuli | Ibinzamata | Kambarage | Kitangili | Kizumbi | Kolandoto | Mwamalili | Mwawaza | Ndala | Ngokolo | Shinyanga mjini |
||