Shetaye Abaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shetaye Sisay Abaa (alizaliwa tarehe 30 Juni 1988)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ethiopia ambaye anacheza kwa timu ya C.B.E na timu ya taifa ya Ethiopia.

Aliifungia Ethiopia katika mechi ya kufuzu kwa Mashindano ya Wanawake ya Afrika ya mwaka 2012 dhidi ya Misri.[2][3]

Alicheza kwa timu ya taifa ya Ethiopia katika Mashindano ya Wanawake ya Afrika ya mwaka 2012.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-02-22. Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
  2. www.ethiofootball.com http://www.ethiofootball.com/ethiopianathletics/news/index.php?id=710. Iliwekwa mnamo 2024-04-28.  Missing or empty |title= (help)
  3. http://allafrica.com/stories/201201161538.html
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shetaye Abaa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.