Shannon Cooke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cooke akichezea West Ham mnamo 2023

Shannon Cooke (alizaliwa 2 Februari 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae anacheza kama beki wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) [1]na timu ya taifa ya Uingereza kwa walio na umri chini ya miaka 23.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sunderland Ladies 0-2 Arsenal Women", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-27 
  2. "England - S. Cooke - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shannon Cooke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.