Scholastica Kimaryo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Scholastica Kimaryo (alizaliwa Maua, Mkoa wa Kilimanjaro, nchini Tanzania, 1949) ni Mtanzania mkufunzi wa maisha na mtetezi wa haki za wanawake, ambapo hapo awali alifanya kazi kama mtumishi wa umma wa kimataifa na mwandishi wa habari kwa miongo mitatu.

Maisha ya awali, elimu na familia[hariri | hariri chanzo]

Scholastica alikuwa na ndugu sita katika familia yake, kaka watatu na dada watatu. Scholastica alipambana na mila ili kupata elimu ya sekondari na elimu ya juu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Scholastica Kimaryo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.