Saori Takarada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saori Takarada (alizaliwa 27 Disemba 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Japani ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) [2]na timu ya taifa ya Japani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saori Takarada kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.