Sanjay Leela Bhansali (Devanagari: संजय लीला भंसाली) ni mwongozaji wa filamu kutoka nchini India. Ni mhitimu wa Taasisi ya Filamu na Televisheni ya India.[1] Bhansali amechukua jina la kati la "Leela" ukiwa kama ukumbusho kwa mama'ke, Leela Bhansali.
Filmografia [hariri]
Mwongozaji [hariri]
- Khamoshi: The Musical (1996)
- Hum Dil De Chuke Sanam (1999)
- Devdas (2002)
- Black (2005)
- Saawariya (2007)
- Guzaarish (2010)
Mtayarishaji [hariri]
- Hum Dil De Chuke Sanam (1999)
- Black (2005)
- Saawariya (2007)
- Guzaarish (2010)
- 1942: A Love Story (1994)
- Khamoshi: The Musical (1996)
- Guzaarish (2010)
Uongozaji wa Muziki [hariri]
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
|
|
|
| 1954–1960 |
|
|
| 1961–1980 |
|
|
| 1981–2000 |
|
|
| 2001–present |
|
|
|
|
|
 |
Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sanjay Leela Bhansali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |