Sana Maulit Muli
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| ''Sana Maulit Muli'' | |
|---|---|
| Mtunzi | ABS-CBN |
| Nchi inayo toka | Ufilipino |
| Idadi ya sini zilizopo | 73 |
| Matayarisho | |
| Mtayarishaji | Brenda Lee Estopacio |
| Mwandishi mkuu | Reggie Amigo |
| Muda | Dk. 25-20 |
| Matangazo | |
| Kituo | ABS-CBN |
| Hewani tangu | 8 Januari 2007 |
| Viungo | |
| Profaili ya IMDb | |
Sana Maulit Muli ni jina la kutaja tamthiliya ya Kifilipino iliyokuwa ikirushwa hewani-kutayarishwa na kituo cha televisheni cha ABS-CBN. Inasadikika kuwa kilikuwa moja kati vipindi vya televisheni vilivyokuwa vikitazamwa sana huko nchini Ufilipino kwa mwaka wa 2007.[1]. Jina lake linaweza kutafsirika haraka-haraka kwa Kiswahili kama: "Ningependa Iweze Kutokea Tena". Kwa nchini Taiwan, tamthilia hii ilianza kurushwa hewani mnamo tar. 18 Februari 2008 ikiwa na jina la "Chances" (真愛奇緣 Zhēn Aì Qí Yúan).[2]
Yaliyomo |
Muhtasari wake [hariri]
Kitabu "A" [hariri]
Kitabu "B" [hariri]
Washiriki [hariri]
- Kim Chiu kacheza kama Jasmine "Poknat" Sta. Maria
- Gerald Anderson kacheza kama Travis "Bokbok" Johnson
- Erich Gonzales kacheza kama Camille Soriano
- Jake Cuenca kacheza kama Brandon Johnson
- Gloria Diaz kacheza kama Monica Johnson
- Mark Bautista kacheza kama Francis Marquez
- Mickey Ferriols kacheza kama Emily Sta. Maria
- Tonton Gutierrez kacheza kama George Soriano
- Michael de Mesa kacheza kama Mr. Destiny/Mang Andres
- Glydel Mercado kacheza kama Clara Soriano
- Arron Villaflor kacheza kama Kevin Roque
- Neri Naig kacheza kama Bianca
- Nathan Lopez kacheza kama Romeo Bato
- Marco Aytona kacheza kama Bruce
- Kyle Balili kacheza kama Tam
- Frank Garcia kacheza kama Pete
- Jeffrey Santos kacheza kama Arnold Bato
- Cheska Iñigo kacheza kama Maria Bato
- KC Aboloc kacheza kama Camille Mdogo
- Celine Lim kacheza kama Jasmine Mdogo
- Francis "Iking" Magundayao kacheza kama Travis Mdogo
Marejeo [hariri]
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sana Maulit Muli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |