San Diego, California

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la San Diego
Skyline ya Jiji la San Diego
Nchi Marekani
Jimbo California
Kitongoji San Diego
Idadi ya wakazi
 - Mji 1,353,993
Website: www.sandiego.gov
San Diego County California Incorporated and Unincorporated areas San Diego Highlighted.svg

San Diego (yaani Mtakatifu Diego) ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la California baada ya Los Angeles, na wa saba katika nchi nzima ya Marekani. Uko upande wa kusini-magharibi ya nchi.

San Diego una wakazi milioni 1,3 katika eneo la 963.6 km².

Jina la San Diego latoka katika lugha ya Kihispania, kwa kuwa ulijengwa kandokando ya konventi ya Wafransisko iliyokuwa na jina hilo kwaheshima ya Diego wa Alkala.

[hariri] Viungo vya Nje

Flag USA template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Diego, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.