Samweli wa Dabra Wagag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samueli wa Dabra Wagag (kwa Ge'ez: አባ ሳሙኤል, Abbā Sāmū'ēl; alizaliwa 1350 hivi[1]) alikuwa mmonaki wa monasteri ya Dabra Wagag (Ge'ez: ዘደብረ ወገግ za-Dabra Wagag, kisasa ze-Debre Wegeg) nchini Ethiopia hadi mwanzo wa karne ya 15.[2]

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Steven Kaplan, Hagiographies and the History of Medieval Ethiopia, History in Africa, African Studies Association, 1981, p.114.
  2. The source for his life is his Gadl (a type of Ethiopian hagiography), most accessible in Stanislas Kur's French translation of the Ge'ez original, Actes de Samuel de Dabra Wagag. The original work (Ge'ez: ገድለ ሳሙኤል ዘወገግ Gadla Sāmū'ēl za-Wagag) survives only in two 20th century manuscripts, both copies of a 16th-century revision of an earlier composition. Kaplan, Hagiographies and the History of Medieval Ethiopia, pp.110-1.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Actes de Samuel de Dabra Wagag, traduits par Stanislas Kur. Louvain, Secrétariat du CorpusSCO, 49 Ch. de Wavre, 1968.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.