Salima Jobrani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salima Jobrani (alizaliwa 25 Februari 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Salima alicheza mara ya mwisho kama golikipa wa klabu ya Al-Riyadh ya nchini Saudia na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Salima Jobrani Stats". FBref. Iliwekwa mnamo 2 August 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salima Jobrani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.