Saido Ntibazonkiza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saido Ntibazonkiza, (alizaliwa 1 Mei 1987) ni mchezaji maarufu wa soka kutoka Tanzania raia wa Burundi ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Simba S.C. na timu ya taifa ya Burundi.

Anavaa jezi namba 39 na amekuwa mmoja wa wachezaji muhimu katika kikosi cha Simba S.C. Baada ya kujiunga nao kutoka timu ya Geita Gold, Ntibazonkiza amethibitisha uwezo wake katika mipira ya kutenga na amekuwa sehemu ya mafanikio ya klabu hiyo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saido Ntibazonkiza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.