Saïd Allik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saïd Allik, (alizaliwa Tixeraïne, Birkhadem, Algeria, 24 Aprili 1948) ni mchezaji wa soka wa Algeria aliyekuwa kocha na kisha rais wa USM Alger.[1][2] Ameteuliwa kuwa Rais wa Klabu ya CR Belouizdad.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Said Allik alikuwa mchezaji wa soka akiwa kama beki wakati wa kazi yake ya mpira. Amechezea pia za USM Algiers, Hydra AC, na USM El Harrach.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ligue des champions : les Usmistes s'envolent pour Casablanca" (kwa Kifaransa), Radio Algeriénne, Oktoba 19, 2017.
  2. Malik A., "Une soirée en Rouge et Noir Archived 12 Juni 2018 at the Wayback Machine." (kwa Kifaransa), Liberte, Novemba 29, 2017.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saïd Allik kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.