Runa Konomi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rana Konomi (alizaliwa 6 Agosti 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama golikipa wa klabu ya Sanfrecce Hiroshima Regina inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Scoresheet". weleague.jp. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Runa Konomi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.