Royan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Royan
Skyline ya Jiji la Royan
Nchi Ufaransa
Mkoa Poitou-Charentes
Wilaya Charente-Maritime
Idadi ya wakazi
 - Mji 18 202
Website: www.ville-royan.fr
Blason Royan.svg

Royan ni mji wa Ufaransa ya magharibi. Iko kwenye mwambao wa Atlantiki upande wa kazkazini wa mdomo wa mto Gironde. Royan ina wakazi 18 202 (mwaka wa 2006).

Kitovu cha mji wa Royan pamoja na kanisa kuu
Mahali pa Royan (Wilaya wa Charente-Maritime) katika Ufaransa

[hariri] Historia

Royan ni mji wa kale lakini iliharibiwa kabisa wakati wa vita kuu ya pili ya dunia ikajengwa upya baada ya vita kwa hiyo karibu nyumba zote ni mpya.

[hariri] Viungo vya nje

Flag France template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Royan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: