Rika Masuya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rika Masuya (alizaliwa 14 Septemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya wanawake ya INAC Kobe Leonessa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rika Masuya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.