Reto Knutti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Reto Knutti (2017)

Reto Knutti (alizaliwa 1973) ni mwanasayansi wa hali ya hewa kutoka Uswisi na profesa wa fizikia ya hali ya hewa katika Taasisi ya ETH Zurich ya Sayansi ya Anga na Hali ya Hewa.[1][2]

Anajulikana kwa utafiti wake unaohusisha mitindo ya hali ya hewa,[3][4] na amekuwa mwanachama mkuu wa Jopo la Serikali Mbalimbali kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Eight professors appointed at ETH Zurich". ETH Zurich. 15 July 2016. Iliwekwa mnamo 19 April 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Reto Knutti". Institute for Atmospheric and Climate Science. ETH Zurich. Iliwekwa mnamo 19 April 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. https://www.nature.com/articles/nature.2016.19971
  4. https://newrepublic.com/article/141000/can-world-beat-climate-change-without-us
  5. Gillis, Justin (8 October 2013). "How to Slice a Global Carbon Pie?". The New York Times. Iliwekwa mnamo 19 April 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reto Knutti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.