Remscheid
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Remscheid | |||
| Kitovu cha mji wa Remscheid | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Remscheid katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 51°11′N 7°12′E / 51.183°N 7.2°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
| Idadi ya wakazi (2009) | |||
| - Mji | 111,422 | ||
| Tovuti: www.remscheid.de | |||
Remscheid ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Wupper. Idadi ya wakazi wake ni takriban 111,422. Mji ulianzishwa 1173.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Remscheid kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |