Rashid Chuachua
Rashid Mohamed Chuachua (amezaliwa 15 Juni 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa Mbunge wa Masasi Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |