Puebla, Puebla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa Puebla, Puebla



Jiji la Puebla
Nchi Mexiko
Jimbo Puebla
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,485,941
Tovuti:  www.pueblacapital.gob.mx/

Puebla (jina rasmi: Heroica Puebla de Zaragoza, pia: Angelópolis) ni mji mkuu ma mji mkubwa jimboni Puebla. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 1,485,941 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 546 km².

Mji upo m 2,175 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Puebla ni mji wa kwanza ulianzishwa na Wahispania mwaka 1531.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Puebla, Puebla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.